Jumatatu , 12th Dec , 2016

Msanii Mayunga Nalimi ambaye alikuwa kwenye kipengele cha mwanamuziki bora chipukizi katika EATV AWARDS, leo amefunguka baada ya kukosa tuzo hiyo na kwenda kwa msanii wa singeli Manfongo.

Alichoandika Mayunga

Kwenye ukurasa wake wa instagram amendika kuhusu tuzo hizo huku akiipongeza EATV, kwa kuandaa tuzo hizo zilizotoa fursa kubwa kwa wasanii hao.

Mayunga alikuwa kwenye kipengele cha mwanamuziki bora chipukizi pamoja na Bright, Rucky Beby, Manfongo, Feza Kesy ambapo Manfongo ndiye aliyeibuka mshindi

Tags: