Wavuti ya kujifunza lugha mtandaoni inayofahamika kama Duolingo, imetoa takwimu zinazoonyesha...
Wavuti ya kujifunza lugha mtandaoni inayofahamika kama Duolingo, imetoa takwimu zinazoonyesha...
Pablo Picasso aliwahi kunukuliwa ''Good artists copy, great artists steal'' akiwa na maana...
Ikiwa zimebaki siku 3 kwa huduma ya TikTok kuziwa rasmi nchini Marekani, kubwa na mpya kwa sasa...
Kubwa kwa sasa kwenye upande wa teknolojia ni kufungiwa kwa mtandao wa TikTok nchini Marekani,...
Zikiwa zimesalia siku chache mashindano ya nchi Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza ligi...
Zikiwa zimesalia siku 6 pekee dirisha dogo la usajili Tanzania bara kufungwa Januari 15/2025 ambalo lilifunguliwa Disemba 15/2024, Jina la Aishi Salum Manula mwenye umri wa miaka 29 ni miongoni mwa wachezaji wa Simba Sc ambao hawajapata nafasi ya kucheza chini ya Kocha wa Fadlu Davids kwenye mechi za ushindani msimu huu kutokana na kiwango bora anachoonesha Moussa Camara raia wa Guinea.
Manula ametemwa na Simba kwenye kikosi cha wachezaji 22 waliosafiri kuelekea Nchini Angola...