Yustas Mbatina Rwamugira ni kiongozi mwenye uzoefu katika harakati za wafanyakazi na haki za kijamii.
Amezaliwa mwaka 1949 Kijijini Kiwera, Muleba Kagera
Alisoma ualimu na kuhitimu mwaka 1979
Alijiunga na TANU na baadae CCM hadi mfumo wa vyama vingi ulipoanza
Akajiunga NCCR Mageuzi miaka ya 1990 na akawa Katibu wa wilaya wa chama hicho
1999 alijiunga rasmi TLP



















