Amezaliwa Novemba 24,1979
Ana shahada ya uzamili ya uandishi wa habari
Ana shahada ya uzamili ya usimamizi wa fedha
Mwaka 2003-2011 alikuwa mwandishi habari kituo cha Channel 10
2011-2014 aliajiriwa kampuni ya VODACOM kama meneja uhusiano wa nje
2014-2024 Alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar
Salum Mwalimu amewahi kuwa mgombea mwenza wa Urais kupitia CHADEMA uchaguzi wa mwaka 2020



















