Ni mtoto wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu nchini marehemu Kingunge Ngombale Mwiru
Aliwahi kuwa kada wa CCM na kuitumikia UVCCM
Kunje Ngombale Mwiru anasifika kwa misimamo yake tata kwenye siasa
Profile yake ya WhatsApp ameweka picha ya Rais Samia
Kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa AAFP alishinda kwa kupata kura 70 kati ya 97



















