Makamu wa Rais Bi. wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akiwa na Rais wa Comoro Azali Assoumani.
Timu zilizoshiriki hatua ya mchujo ambapo Dream Chaser waliovalia jezi nyeusi wakipambana na Temeke Heroes (nyeupe)
Mbwana Samatta (kushoto) na wachezaji wa Uganda (kulia).