Ofisi za Makao Makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania TFF.
Mashabiki wa Yanga 'wakimgombania' kipa wa timu yao, Deo Munishi 'Dida' wakati timu ilipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Mfungaji wa goli la kwanza la Yanga Simon Msuva akiwania mpira na beki wa Esperanca.
Wachezaji wa Yanga Salum Telela [kushoto] na Malimi Busungu [kulia]
Washambuliaji wa kimataifa wa Yanga Mzimbabwe, Donald Ngoma kulia na Amissi Tambwe wa Burundi kushoto.