
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitundika mzinga wa nyuki wakati alipotembelea kikundi cha hifadhi ya misitu na ufugaji nyuki cha Kambi ya Nduta.

Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benki ya NMB mara baada ya kupokea vifaa mbalimbali

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda.

Mwanasheria mkuu mstaafu wa serikali Jaji mstaafu Mark Bomani (wa kwanza kulia) akiwa katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi karibuni.

Waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda.

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda.