Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika moja ya vikao vya Bunge.
Mwenyekiti wa CHADEMA, na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Mh. Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa Chama cha upinzani cha Chadema, Freeman Mbowe.
Viongozi kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi - UKAWA.
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dkt Asha-Rose Migiro.
Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Hamphrey Polepole.
Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu.