Waogeleaji wakichuana katika michuano ya kuogelea jijini Dar es salaam.
Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania [taifa stars]
Mshambuliaji hatari wa timu ya Simba Mganda Emmanuel Okwi akimpiga chenga beki wa Gor Mahia ya Kenya.
Kocha mkuu wa timu ya Yanga kushoto pichani Mbarazil Marcio Maximo.
Wachezaji wa timu ya ngumi za kulipwa ya Tanzania wakiwa katika moja ya safari ya kwenda nje ya nchi.
Mmoja wa wachezaji wa mchezo wa chess akitafakari jambo wakati wa mchezo huo.
Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 [Serengeti Boys]
Baadhi ya waamuzi wakiwa katika kozi ya uamuzi ya FIFA.
Mshambuliaji Mcha Hamis wa taifa stars akienda kuokota mpira baada ya kuifungia stars bao la kusawazisha dhidi ya Msumbiji
Wachezaji wa timu ya vijana ya cricket ya Tanzania wakijifua jijini Dar es salaam
Kikosi cha timu ya taifa ya vijana ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Boys.
Wachezaji wa cricket wakiwa katika moja ya michezo hapa nchini.
Wanariadha wakichuana katika michuano ya taifa ya riadha iliyoanza hii leo jijini Dar es salaam
Wanariadha wa Tanzania wakichuana katika moja ya michuano ya taifa.