Waziri wa uchukuzi Mh. Dk. Harrison Mwakyembe
Waziri wa Uchukuzi na mbunge wa Kyela akitembelea baadhi ya maeneo yaliyothirika na mafuriko Wilayani Kyela
Mwili wa mchimbaji uliotolewa ndani ya kifusi
Eneo la tukio baada ya ajali hiyo kutokea