
Mwanadada Serena Willams akishangilia baada ya kushinda fainali ya Wimbledon.
Wachezaji wa timu ya Chile wakishangilia wakiwa na kombe lao la ubingwa wa michuano maalumu ya Copa America.

Timu ya taifa ya Uganda, maarufu The Cranes.
Wachezaji wa mchezo wa RollBall wakifanya mazoezi.

kinda Alexander Zverev akishangilia baada ya kumchapa Federer.
Baadhi ya wanafunzi wakijifunza mchezo wa mpira wa magongo

Kocha Mkuu wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Marehemu Shaibu Amodu.

Philippe Coutinho akishangilia moja ya mabao yake matatu wakati Brazil ikiibuka na ushindi wa 7-1 dhidi ya Haiti

Mohamed Ally enzi za upiganaji wake akiwa amemwangusha mmoja wa wapinzani wake wakati huo.

Garbine Muguruza akishangilia baada ya kumshinda Serena Williams katika fainali ya French Open.
Cosmas Cheka akivishwa mkanda wa WBF alioutwa hivi karibuni.

Kikosi cha timu ya soka ya Serengeti Boys.
Viongozi wa benchi la ufundi la Serengeti Boys Bakari Shime kocha mkuu [kulia], na Kim Palsen [kushoto] wakiwa na kiongozi wa TFF Baraka Kizuguto ][katikati]
Bondia Thomas [Mashali kushoto] akijifua na mkongwe Rashid Matumla.
Mchezaji wa Serengeti Boys akiwatoka wachezaji wa Misri wakati timu hizo zilipokutana hivi karibuni nchini