Watangazaji na wafanyakazi wengine wa East Africa Television na East Africa Radio.
Wanafunzi wa kike shule ya msingi Turiani pamoja na walimu wao wakiwa na watangazaji wa East Africa Television na East Africa Radio baada ya kupokea taulo za kike.
Msanii Ben Pol akitoa maelezo
Mkuu wa Vipindi wa East Africa Radio, Nasser Kingu.




