
Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania [Taifa Stars]
.jpg?itok=i2Dyip7n×tamp=1472475479)
Mkurugenzi wa Mashindano,Boniface Wambura

Kikosi cha taifa stars kikiwa katika jezi ambazo zilizua utata kutokana na rangi ya jezi hizo kutoendana na rangi za bendera ya taifa
Timu za daraja la kwanza zikiwa zimejipanga kusubiri ukaguzi kabla ya mchezo

Kikosi cha timu ya taifa ya Benin kitakachoivaa taifa stars siku ya jumapili October 12 mwaka huu.

Wakili wa vilabu vya ligi kuu ya soka Tanzania bara Dr. Damas Ndumbaro pichani [kulia]

Rais wa shirikisho la soka barani Afrika CAF Issa Hayatou

Beki Said Nassoro 'cholo' wa Simba kushoto akichuana na kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga kulia.

Mshambuliaji wa Simba Mganda Emmanuel Okwi.
Viongozi wa juu wa shirikisho la soka nchini TFF pichani.
Mshambuliaji Mganda Emmanuel Okwi akitambulishwa na mwenyekiti wa kamati ya usajili ya klabu ya Simba Zakaria Hans Pope.