
Wakizungumza na East Africa Radio leo katika Vijana hao wameishauri serikali kwamba ni vema wakaondoa vituo vya boda boda na bajaji kati kati ya jiji badala ya kuwazuia kufika kutokana na wengi wa abiria wao wanatoka na kwenda kati kati ya jiji.
Wamesema iwapo serikali itaendelea na uamuzi wake wataathirika katika kupata kipato kwa kuwa wengi wa waendesha boda boda na bajaji ni wale waliokabidhiwa na watu binafsi ambao wanahitaja kupeleka hesabu za fedha kwa mujibu wa makubaliano.