Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akiongea na Wananchi
Katikati ni mwenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro, Deogratius Luta na kulia ni Katibu wa CCM mkoa huo Idd Juma Mohamed Wakizungumza na Mh. Steven Wassira.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rorya alieshika mic Samwel Kiboye maarufu kama Namba 3akizungumza na wananchi wa Kata ya Utegi wilayani humo.
Mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Iringa Mjini Balozi Augustino Mahige.
Menyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa Njombe Deo Sanga ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Njombe Kaskazini
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye ni mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo la Mtwara vijijini, Mhe. Hawa Ghasia.
Katibu wa CCM mkao wa Dodoma Albart Mgumba akikata utepe kuzindua ofisi za chama hicho kata ya Chang'ombe.
MBUNGE wa jimbo la Kyela na waziri wa Afrika Mashariki Dr,Harrison,Mwakyembe akihutubia wananchi katika mkutano wa Hadhara.
Mkufunzi wa chuo cha mipango kilichopo mkoani Dodoma Dkt. Lucas Mwambambale ambae ametangaza nia ya kugombea jimbo la kyela.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha (CCM) Bw. Frank Kibiki.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Taifa Alhaji Abdallah Bulembo
Jengo jipya la Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) jana katika ukumbi wa White House mjini Dodoma.