Mamba akatisha uhai wa mtoto Maswa Mtoto mmoja kati ya watatu waliokuwa wakioga kwenye mto Simiyu uliopo kata ya Zanzui wilayani Maswa mkoani Simiyu ameuwawa na mamba huku baadhi ya viungo vya mwili wake vikiwa vimeliwa. Read more about Mamba akatisha uhai wa mtoto Maswa