Wachezaji Simba waanza kujiondoa, Ngoma aaga
Kiungo wa Simba SC, Fabrice Luamba Ngoma amewaandikia ujumbe viongozi, mashabiki na timu nzima ya Simba SC, huku akiwakumbusha kuendelea kuiunga mkono klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Kariakoo.