TID Alia na watoa mirabaha,mikopo kwa wasanii
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, TID (Top in Dar) ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kuandika ujumbe mzito akielezea hali ngumu wanayokumbana nayo wasanii nchini, hususani kuhusu mikopo na malipo ya mirabaha.