Waziri abaini wageni wanakodishwa ranchi Kagera
Serikali ya Tanzania imekiri kuwa baadhi ya wamiliki wa vitalu katika ranchi za taifa mkoani Kagera wamekuwa wakikodisha ranchi hizo kwa watu wenye ng;ombe kutoka nchi za jirani badala ya kuzitumia kulisha mifugo yao.

