Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Jamal Malinzi akitangaza kusimamisha uchaguzi wa klabu ya Simba.
TFF inawataka wanachama na wapenzi wa klabu ya Simba waendelee kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho TFF inataka ijihakikishie haki inatendeka kuelekea kwenye uchaguzi wa klabu hiyo.