Bomu laua mmoja na kujeruhi saba Zanzibar

Maeneo ambapo bomu hilo lililipuka

Wakaazi wa Zanzibar wako katika hali ya wasiwasi baada ya kushuhudia tukio lengine la kulipuka kwa bomu kwa lililowalenga viongozi wa dini na kuua kijana mmoja na kujeruhi saba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS