Vijana waaswa kujitoa kusaidia Wagonjwa

Mazingira ya Hospitali ya Amana jijini Dar es salaam

Vijana Nchini Tanzania wametakiwa kutumia muda wao kujitolea katika kutoa huduma za afya katika hospitali za umma ikiwa ni pamoja na kufanya usafi hali itakayosaidia kuwafariji wagonjwa walio katika hospitali hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS