Radio na Weasel wakamilisha mzigo
Wasanii wa muziki Moze Radio pamoja na Weasel TV, baada ya kuachia video yao mpya ya ngoma inayokwenda kwa jina Breath Away ambayo imefanyika huko Afrika Kusini, sasa wanajifua kwa ajili ya uzinduzi wa albam yao inayokwenda kwa jina Street Lights.