"Colonel ananitafuta maneno" - Nyota Ndogo
Kupishana kwa maelewano kati ya msanii Nyota Ndogo dhidi ya Colonel Moustapha, kumeendelea kutikisa vichwa vya habari baada ya Nyota Ndogo kukerwa na kauli ya hasimu wake huyu kuwa kuna kitu zaidi ambacho yeye anakitaka kwa Colonel.