Wanaopinga mkutano mkuu Yanga waende klabuni

Umati wa wanachama wa klabu ya Yanga wakiwa katika mkutano mkuu.

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kama idadi ya wanachama wa klabu hiyo wanaopinga maazimio ya mkutano mkuu wa klabu hiyo wa June mosi wakifikia idadi ya wanachama zaidi ya elfu moja mia tano [1500] basi watabadili maamuzi ya azimio la JUNE mosi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS