Amani awapa matumaini mashabiki zake
Baada ya msanii Amani kufanya vizuri na ujio wake kupitia Ngoma ya Kiboko Changu
aliyowashirikisha wasanii Radio na Weasel kutoka Uganda na kutulia tena kwa muda, kwa sasa
mwanadada huyu amewaonyesha dalili za matumaini mashabiki zake.