Domarco kushine na wasanii wa UG
Staa wa muziki kutoka Jamaica, Collins Demar Eadwards maarufu zaidi kama Demarco ambaye
anatarajia kutua nchini Uganda kwaajili ya onyesho mwezi Mei, anatarajia kutumia nafasi hii pia kufanya kolabo kadhaa na mastaa wa muziki kutoka nchini humo.