Miss Tanzania asema anafurahishwa na wanafunzi

Miss Tanzania, Happiness Watimanywa amesema kuwa katika muda wake akiwa kama mrembo anayeiwakilisha nchi kwa sasa, shughuli anayofurahia sana ni kuzungumza na wanafunzi na kuwashauri juu ya mambo mbali mbali kuwasaidia kufanikiwa kimaisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS