Bebe Cool aonyesha mapenzi ya soka
Msanii Bebe Cool, amekuwa moja kati ya mastaa kutoka Afrika Mashariki ambao wameonyesha mapenzi yao makubwa katika soka la ulaya, ambapo katika ziara yake huko Uingereza hivi karibuni, alipata nafasi ya kuingia katika kiwanja cha soka cha Emirates.