Juliani kuachia albam ya 3 Juliani Msanii wa muziki wa nchini Kenya, Juliani baada ya kufanya vizuri sana katika soko la muziki na Albam zake mbili za kwanza, kwa sasa msanii huyu anatarajia kuachia albam yake ya tatu, ambayo tayari imekwishakamilika sasa. Read more about Juliani kuachia albam ya 3