TCU yakamilisha mfumo wa gharama elimu ya juu

Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi nchini Tanzania, Dkt Shukuru Kawambwa.

Tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania (TCU) imesema mfumo wa utambuzi wa gharama za masomo kwa kila mwanafunzi wa elimu ya juu upo tayari kwa ajili ya kuanza kutumika katika upangaji wa ada wa vyuo vya elimu ya juu vilivyopo nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS