Coastal U-20 kupimana ubavu na Dyna

Baadhi ya wachezaji wa timu ya vijana ya Coastal Union

Timu ya vijana chini ya miaka 20 ya Coastal Union Jumapili wiki hii wanatarajiwa kufanya ziara ya kimichezo katika tarafa ya Maramba wilayani Mkinga, na kucheza michezo kadhaa ya kirafiki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS