Johari asema hana mpenzi, awakana Ray, Ostaz

Johari

Staa wa filamu hapa Bongo, Blandina Changula ama Johari kwa jina maarufu, kufuatia ripoti mbalimbali kuhusiana na swala zima la mahusiano yake ya kimapenzi kushika chati katika siku za karibuni, ameamua kutoa kauli rasmi kuhusiana na swala hili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS