Serikali yazindua kadi za mashabiki Simba,Yanga
Vilabu vya soka vya Simba na Yanga kwa kushirikiana na bank ya posta Tanzania hii leo imezindua kadi maalumu ambazo zitatumiwa na mashabiki na wanachama wa timu hizo katika lengo la kuziwezesha klabu hizo kupata mapato.

