Mashabiki wa timu za Simba na Yanga wakitazama moja ya mechi iliyozikutanisha timu hizo jijini9 Dar es salaam
Baadhi ya mashabiki wa soka nchini wameipongeza klabu ya soka ya Azam kwa kutwaa ubingwa wa ligi hiyo na kuzitaka klabu kongwe za Dar es salaam Young Africans maarufu Yanga na Simba kujifunza.