Sababu zatajwa za kasi ndogo malengo ya milenia

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya utafiti wa masuala ya kiuchumi na kijamii - ESRF Dkt. Hoseana Bohela Lunogelo (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.

Ushiriki hafifu wa wananchi katika sekta za elimu na afya nchini Tanzania umeelezwa kuchangia kuzorota kwa kasi ya utekelezaji wa malengo ya millenia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS