Serikali kuongeza upatikanaji wa maji Pwani na Dar

Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Tanzania, Profesa Jumanne Maghembe.

Serikali ya Tanzania imeanza kupanua mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu juu ili kuongeza uzalishaji wa maji kutoka lita milioni 82 hadi lita milioni 196 kwa siku, ili kukabiliana na uhaba wa maji kwa wakazi wa mikoa ya Pwani na jiji la Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS