Warioba awajia juu wanaomdhihaki na kumkejeli

Aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, jaji mstaafu Joseph Warioba

Aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba nchini Tanzania Jaji Mstaafu Joseph Warioba ameshangazwa na lugha ya dhihaka na kejeli inayotumiwa na wajumbe wa bunge maalum la katiba katika michango ya mijadala inayoendelea katiba bunge hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS