Koffi Olomide kuonesha uwezo Uganda
Msanii wa muziki Koffi Olomide kutoka nchini Congo, anatarajiwa kutua nchini Uganda na kufanya onesho Ijumaa hii tarehe 25, katika tukio kubwa lililoandaliwa na klabu ya Rotary nchini humo kwa lengo la kuhamasisha watu juu ya uchangiaji wa damu.