Mbeya City yapongezwa kwa kuamsha waliolala

Kikosi cha timu ngumu ya Mbeya city ambacho pamoja na ugeni katika ligi kimeleta changamoto kubwa na kushika nafasi ya tatu

Kukubalika kwa timu ya Mbeya City kumeleta changamoto kubwa katika ligi kuu bara msimu huu na kujizolea mashabiki kote nchini huku jezi za timu hiyo zenye rangi ya zambarau zikiuzwa kama njugu

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS