Bebe Cool aelekea Canada Bebe Cool Staa wa muziki Bebe Cool wa nchini Uganda, anatarajiwa kuipeperusha vyema bendera ya nchi yake huko Canada mwishoni mwa wiki hii, ambapo atakuwa na maonesho mawili makubwa kabisa kuwahi kufanya. Read more about Bebe Cool aelekea Canada