Uamsho yataka viongozi kutochanganya siasa na dini
Kiongozi wa jumuiya ya Uamsho akiwa katika moja ya mikutano ya hadhara ya jumuiya hiyo kisiwani Zanzibar.
Jumuiya ya Uamsho na mihadhara ya kiisilam mjini Zanzibar imewataka viongozi wa kisiasa kuacha kuchanganya masuala ya kisiasa na kidini kwa kuwa kufanya hivyo ni kutaka kuvuruga amani ya nchi.