Serikali kuongeza mishahara mwaka ujao wa fedha Rais wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amesema serikali itaongeza mshahara kwa wafanyakazi katika bajeti ya mwaka wa fedha 2014/2015. Read more about Serikali kuongeza mishahara mwaka ujao wa fedha