Chege na Temba waja na 'Wauwe'
Wasanii wanaoliunda kundi maarufu la muziki wa bongo flava nchini TMK Wanaume Family Chege na Mh. Temba wanatarajia kuachia kichupa chao kipya walichokibatiza jina 'WAUE" ambacho kinatarajiwa kutambulishwa kesho Ijumaa jijni Dar es Salaam.

