Wanachama Yanga wapewa Onyo Baadhi ya wanachama wa klabu ya Yanga Wanachama wa klabu ya Yanga wamepewa onyo la kutozungumza mambo yahusuyo klabu kinyume na utaratibu na kuelezwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume na katiba ya klabu hiyo. Read more about Wanachama Yanga wapewa Onyo