Bodaboda bado zatumika kwa uporaji Dar
Mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam na dereva wa gari yenye namba za usajili T 910 CGR aina ya Toyota Noah, Abbas Matenga, amemwagiwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni tindikali na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi na kisha kumpora baadhi ya vifurushi.