Stars kwenda Tukuyu kesho kuiwinda Msumbiji

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania taifa stars kitakachowakabili Mambaz ya Msumbiji Julai 20 mwaka huu.

Wakati Taifa Stars inaingia kambini Tukuyu mkoani Mbeya kesho (Julai 9 mwaka huu), kocha Mart Nooij amesema kambi ya wiki mbili nchini Botswana imekisaidia kikosi chake kujiandaa kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS