Izzo Business kwenye 'level' nyingine
Izzo Business ambaye sasa ameanza kuchana anga za kimataifa kupitia muziki wake, baada ya video yake ya Tumoghelle kuanza kugongwa katika moja ya kituo kikubwa kabisa Afrika, ametaja mambo mawili makubwa ambayo ameyapata baada ya kupigwa kimataifa.