Sheddy Clever atimiza ndoto mtayarishaji wa muziki nchini Sheddy Clever Mtayarishaji mahiri wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo, Sheddy Clever amefanikisha ujenzi wa studio mpya ya Burn Records na kuiweka katika kiwango cha kisasa, ndoto ambayo amekuwa nayo kwa muda mrefu sasa. Read more about Sheddy Clever atimiza ndoto